LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIKOSE TAMATI YA MKUTANO WA OYES 2016 HII LEO.


Ule Mkutano Mkubwa wa Injili wa Open Your Oyes and See OYES 2016, ulioanza jumapili iliyopita June 12,2016 katika Viwanja wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza kwa Mchungaji Dr.Daniel Moses Kulola, unafikia tamati hii leo jumapili June 19,2016.

Kwa takribani juma zima, Roho Mtakatifu ameonekana katika Mkutano huo na wenye vifungo mbalimbali vya ibirisi wamefunguliwa huku waliohudhuria wakibarikiwa zaidi hivyo hakikisha haukosi tamati ya mkutano huo hii leo.

No comments:

Powered by Blogger.