LIVE STREAM ADS

Header Ads

Huduma ya maombi katika Kanisa la Kimataifa Lumala Mpya jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kimataifa Lumala Mpya (Lumala Mpya International Church- LMIC), Dkt. Daniel Moses Kulola akihudumu kwenye ibada ya jumapili Julai 14, 2019 ambapo wagonjwa na wenye mahitaji mbalimbali waliombewa.
#BMGHabari
 Kanisa la Kimataifa Lumala Mpya liko nyumba ya Soko Kuu la Sabasaba Manispaa ya Ilemela.
Huduma ya maombezi hutolewa bure kwa watu wote bila kuzingatia imani za dini zao.
 Watu wote mnakaribishwa kukutana na uponyaji kwa jina la Yesu katika Kanisa la Kimataifa Lumala Mpya chini ya Watumishi Dkt. Daniel Moses Kulola pamoja na Mercy Daniel Kulola.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.