LIVE STREAM ADS

Header Ads

Serikali yalifunga Kanisa la Mfalme Zumaridi "waumini Never Ever"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Serikali kupitia Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Nyamagana imesitisha shughuli za ibada nyumbani na katika Kanisa la Mfalme Zumaridi lililopo jijini Mwanza kutokana na kuendeshwa kinyume na taratibu. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi Novemba 18, 2019.
#BMGHabari
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.