LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanafunzi wapokea kwa furaha mradi wa kisima cha maji

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mmoja wa wanafunzi wanaosoma katika Shule za Lake jijini Mwanza akionja maji baridi ya kisima kilichochimbwa shuleni hapo na taasisi ya Siri Guru Singh Sabha. Kisima hicho kilichogharimu shilingi milioni 18 kikiwa na urefu wa mita 110 kilizinduliwa rasmi Novemba 16, 2019 na Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella (wa pili kulia).
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akifungua bomba la maji baada ya kuzindua rasmi kisima cha maji katika Shule za Lake Mwanza.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akimpongeza mmoja wa viongozi wa taasisi ya Siri Guru Singh Sabha Mwanza iliyofadhili kuchimba kisima hicho.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akimpongeza mmoja wa viongozi wa taasisi ya Siri Guru Singh Sabha Mwanza baada ya kufanikisha ufadhili wa kisima hicho.
Kisima hicho kimefadhiliwa na taasisi ya Siri Guru Singh Sabha Mwanza.
 Picha za kumbukumbu baada ya uzinduzi wa kisima hicho.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza akiwasili katika Shule za Lake kwa ajili ya uzinduzi wa kisima kirefu cha maji.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.