LIVE STREAM ADS

Header Ads

SHIRIKA LA UMEME TANESCO NDANI YA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

 Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam 2016 kwenye viwanja vya Biashara vya Mwalimu Nyerere  Barabara ya Kilwa  Dar es Salaam.
 Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya kuendeleza jotoardhi Tanzania(TGDC) wa pili kushoto akitoa maelezo kwa Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja.
 Kaimu Meneja Uhusiano Tanesco, Leila Muhaji (kushoto), akiwa na  Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja walipotembelea banda la TGDC.
 Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Sophia Mgonja (kushoto), akimsikiliza mteja aliyetembelea banda hilo.
 Mteja akisikilizwa.
 Wateja wakipata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa Tanesco (kulia), jinsi ya kuunganishiwa umeme katika chumba kimoja hadi viwili.
Mtaalamu wa Tanesco akiwaonesha wananchi jinsi ya kuunganisha umeme katika nyumba za makazi

No comments:

Powered by Blogger.