LIVE STREAM ADS

Header Ads

MC KATUMBA ASHEREHESHA VYEMA SHEREHE YA KUMUAGA MISS JOYCE FRANCIS WA JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Usiku huu katika Ukumbi wa Hotel ya Aspen Jijini Mwanza, inafanyika Sherehe (Sendoff) ya kumuaga Miss Joyce Francis (kushoto) anayetarajia kufunga ndoa na Bwana Paul Charles wa mkoani Shinyanga.

Sherehe imepamba moto muda huu na wageni mbalimbali wamejumuika ili kusherehekea kwa pamoja sherehe hiyo huku wakimtakia kila la kheri bibi harusi mtarajiwa katika kuelekea kwenye maisha mapya ya ndoa ambapo shughuli inasimamiwa na Master Of Ceremonies Jijini Mwanza, Katumba Maduwa.
Ndugu, jamaa na marafiki wakimtakia kila la kheri bibi harusi mtarajiwa usiku huu
Bwana na Bibi Harusi
Kamati ya Sendoff
Kamati ya Sendoff
Shukurani kwa wazazi wa bibi harusi mtarajiwa kwa kuzaa chema
Mshereheshaji wa Sendoff hii ni Master Of Ceremonies Jijini Mwanza, Katumba Maduwa (mwenye koti) ambaye kwa kutumia uzoefu wake wa miaka mingi, sherehe imenoga kweli kweli ukumbini.

No comments:

Powered by Blogger.