SALAMU ZA WANA BMG KWA ALPHONCE TONNY KAPELA, METRO FM MWANZA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Wazo la kuanzisha mtandao huu lilianza rasmi mwaka 2014 ikiwa ni ushauri kutoka kwa Alphonce Tonny Kapela (pichani), akiwa ni Mhariri 99.4 Metro Fm Mwanza.
Mtandao huu ulianza kwa jina la "Mtanzania Media" kabla ya kubadilika jina mwaka 2015 na kuitwa "Binagi Media Group". Ni juhudi na ushauri wa Kapela, zimesaidia kukua kwa mtandao huu hadi kuwa mtandao bora wa habari kutoka Jijini Mwanza.
"Leo unatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako, hakika najivunia kupita katika mikono yako salama ambayo licha ya kunifundisha kazi, juhudi pamoja na uvumilivu, pia umenifundisha kuwa na utu pamoja na moyo wa upendo kwa wengine. Happy Born Day, Alphonce Tonny Kapela". Salamu kutoka kwa George Binagi-GB Pazzo, Mwanzilishi wa mtandao huu kwa niaba ya wana BMG wote.

Bonyeza HAPA Kusikiliza
No comments: