Mapokezi ya Makamu wa Rais jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akiwa na viongozi mbalimbali Julai 31, 2020 majira ya jioni ameongoza mapokezi ya Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa Mwanza
Mama Samia amewasili jijini Mwanza akielekea Bariadi mkoani Simiyu ambapo Agosti Mosi 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Maonyesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nanenane) yatakayofanyika kitaifa katika uwanja wa Nyakabindi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Tazama BMG ONLINE TV hapa
SOMA>>> Habari mbalimbali za Mapokezi
No comments: