Taiwan Hotel Mwanza, watoto wakifurahia Christmas
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Taiwan Hotel jijini Mwanza imekuwa na maandalizi mazuri kwa watoto kufurahia sikukuu ya Christmas na mwaka mpya 2022.
| Watoto wakifurahia michezo mbalimbali Taiwan Hotel. |
| Michezo mbalimbali ya watoto Taiwan Hotel siku ya Christmas Disemba 25, 2021. |
| Watoto wakiwa Taiwan Hotel katika eneo maalum la kupiga picha. |
| Watoto wakipiga picha. |
| 'Selfie' |
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: