LIVE STREAM ADS

Header Ads

TANZIA…TANZIA…TANZIA...TANZIA...TANZIA...TANZIA!

Bw.Elly Mushi  na Bi.Joyce Kilatu wa Kiloleli Mkoani Mwanza Wanasikitika Kutangaza Kifo cha ndugu yao Mpendwa Ndelimbi Eliezer  Mushi wa Lumala Mwanza, Kilichotokea tarehe 05.03.2015 nyumbani kwake Lumala Mwanza.

Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani Machame Kilimanjaro ambapo Mazishi yanatarajiwa kufanyika Kesho tarehe 09.03.2015 huko Machame Nkuu Kati Mkoani Kilimanjaro. Mwili wa Marehemu unasafirishwa leo jumapili tarehe 08.03.2015 kwa ajili ya Mazishi hiyo kesho.

Habari ziwafikie Watumishi wote wa Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure, Umoja wa Wamiliki wa Maduka ya Dawa Mhimu Mkoani Mwanza UWAMADAMWA, Wafanyabiashara wote wa Soko Kuu Kirumba Mkoani Mwanza, Dr.Magoke wa Shinyanga pamoja na ndugu, jamaa na Marafiki wote popote pale walipo.

MAWASILIANO KWA BW.MUSHI:0754 09 39 03

BINAGI MEDIA GROUP INAWAPA POLE WALE WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA HUU, AMEN!

No comments:

Powered by Blogger.