LIVE STREAM ADS

Header Ads

ANGELINA MABULA (CCM) AMBWAGA HIGHNESS KIWIA (CHADEMA) JIMBO LA ILEMELA MKOANI MWANZA.

 CCM imeibuka na ushindi katika nafasi ya Ubunge Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza ambapo Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimboni humo John Paul Wanga jana alimtanga Angelina Mabula (Pichani) kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 85,425 dhidi ya Mpinzani ambae pia alikuwa akiwania jimbo hilo kwa mara ya pili mfululizo Highness Kiwia kutoka Chadema aliepata kura 61,679.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Kwa upande wa Udiwani CCM pia ilishinda kwa kishindo Kata 16 dhidi ya Kata Tatu zilizoenda katika vyama vya upinzani Upinzani.
Bonyeza HAPA Kumjua Mama Mabula

No comments:

Powered by Blogger.