TIGO WAPATA UGENI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA HARVARD.
Mkurungezi Mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Harvard cha Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama ili kupata taarifa za uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano nchini.
No comments: