LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AUNGURUMA KARATU MKOANI MANYARA.

Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara na kupewa Malalamiko na wananchi juu ya adha kubwa wanayoipata juu ya kuzuiliwa kufanya shughuri za Uvuvi katika Ziwa Eyasi Mkoani Manyara.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Wa Arusha Ndg Lengai Ole Sabaya akizungumza katika Mkutano wa Hadhara 

Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara na kupewa Malalamiko na wananchi juu ya adha kubwa wanayoipata juu ya kuzuiliwa kufanya shughuri za Uvuvi katika Ziwa Eyasi Mkoani Manyara.

Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara na kupewa Malalamiko na wananchi juu ya adha kubwa wanayoipata juu ya kuzuiliwa kufanya shughuri za Uvuvi katika Ziwa Eyasi Mkoani Manyara.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa (Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa UVCCM wa Kata, juu ya Kufungwa kwa Ziwa EYASI
Hali ya Ziwa Ikiwa Tulivu Tokana na kutoendelea kwa shughuli zozote za kibinadamu Ndani ya ziwa hilo
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Mmoja Wa Wananchi waliozuiliwa kuendesha shuguri zao maeneo ya Ziwa Eyasi.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa (Kulia) akivikwa Skafu Mara Baada ya Kuwasiri katika ofisi za Chama Wila YA karatu

Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa Shaka Hamdu Shaka akisaini daftari la wageni ndani katika Ofisi za CCM Wilaya ya Karatu.

Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Taifa Shaka H Shaka akisaidia shughuri za ufyatuaji wa Matofali katika Shule ya SUYE 
Picha na Fahad Miraji.
Bonyeza HAPA Kutazama Ujio wake Shaka Hamdu Shaka Mkoani Arusha.

No comments:

Powered by Blogger.