LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG KIDEONI: "PAYUS & PACRASS-CHAUSIKU" NI VIDEO BORA HIVI SASA KUTOKA MWANZA.

Wasanii Payus na Mecrass (Pichani) kutoka Jijini Mwanza wameachia Video ya Wimbo wao iitwayo "Chausiku". 

Ni Video na Audio bora ambayo inafanya vizuri hivi sasa jijini Mwanza ikiwa na matarajio ya kufanya vizuri Kitaifa na Kimataifa. Katika Video hiyo, Mchekeshaji Braza K kutoka Futuhi amezikosha mbavu za watazamaji. Wasanii hawa wanafanya kazi kama kundi wakitumia majina yao (Payus & Mecrass).
Bonyeza Play Kutazama Video Hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.