LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUMBUKUMBU ZA ZIADA MWANZA-DODOMA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Julai 23,2016 Chama cha Mapinduzi kimeingia katika historia nyingine baada ya kufanya Uchaguzi wa Mwenyekiti wake, ambapo Rais Dkt.John Pombe Magufuli, alipitishwa na wajumbe wote wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM kwa Kura zote 2398 za ndiyo huku kukiwa hakuna kura ya hapana wala iliyoharibika.

Uchaguzi ulifanyika katika Ukumbi mpya wa CCM wa Mikutano, Dodoma Convetion Center, huku ukihudhuriwa na viongozi na wawakilishi mbalimbali wakiwemo wanahabari.

Katika picha ni George Binagi-GB Pazzo @102.5 Lake Fm Mwanza kushoto), pamoja na Alphonce Tonny Kapela @Metro Fm Mwanza (kulia) wakiwa Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma baada ya zoezi la kujisajili katika kitabu cha wageni watakaoingia ukumbini.
Usafiri huu unatumika sana mkoani Dodoma
Kumbukumbu na dereva
Mwanza to Dodoma huwa kuna kuchimba dawa pia
Travellers from Mwanza to Dodoma
@Matei Rounge with the fighter himself, Revocuts Herman (R)
Fighters from Mwanza, Mzaire Bokiro (L) GB Pazzo (C) & Gsengo (R). Happy Birth Day Gsengo, Be Blessed More, Ninja.

No comments:

Powered by Blogger.