LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAAFISA AFYA MJINI KAHAMA MKOANI SHINYANGA WATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA UZEMBE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Na Shaban Njia
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Fadhili  Nkulu, amewaweka mbaroni maafisa afya wa Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kosa la kuacha uchafu ulikokuwa katika barabara kuu ya mji huo ambayo inatoka na kuingia katika nchi jirani za Rwanda na Burundi hali ambayo imesababisha eneo hilo kuwa na mrundikano mkubwa wa taka zenye harufu mbaya.

Maafisa Afya hao ni Johanes Mwebesya  na mtendaji wa kata  ya Nyasumbi  Enocent kapeli.

Ilikuwa jana wakati Mhe.Nkulu akipita katika eneo la Phatom  akielekea halmashauri mpya ya ushetu kwa ajili ya ziara ya kikazi.

No comments:

Powered by Blogger.