LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAAFISA WATUNZA KUMBUKUMBU NCHINI WAKUTANA JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Na Vester Joseph BMG
Maafisa watunzaji wa kumbukumbu zikiwemo nyaraka za Serikali nchini, juzi wamekutana Jijini Mwanza ili kujadili mambo muhimu yatakayoisaidia serikali ya awamu ya tano kutekeleza majukumu yake.

Mkurungezi wa kumbukumbu na nyaraka za taifa chini ya ofisi ya Raisi menejimeti ya utumishi wa umma, George Muhagaya, alisema wamedhamiria kutekeleza majukumu ipasavyo ili kuendana kasi ya rais Dkt.John Pombe magufuli.

Mhagaya alieleza kwamba katika kubaini watumishi hewa, watunza kumbukumbu wanapaswa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa sahihi kwa serikali hali itakayosaidia kudhibiti ubadhilifu unaofanywa na watumishi wasio waaminifu.

No comments:

Powered by Blogger.