LIVE STREAM ADS

Header Ads

MCHUNGAJI DANIEL KULOLA AKUTANA NA MTOTO MTANZANIA ALIEIGIZA SINEMA YA "THE REAL MVP" NCHINI MAREKANI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (kushoto) amekutana na mtoto mtanzania aliyeigiza sinema ya The Real MVP nchini Marekani.

Dkt.Kulola alikutana na mtoto huyo, Evan Byarushengo (7 kulia), alipokuwa Texas nchini Marekani kwa ajili ya huduma ya neno la Mungu ambapo Mchungaji Kulola amewasili leo Jijini Mwanza.
Na BMG
Mtoto huyo (kulia) amekuwa miongoni mwa watoto wachache duniani hususani kutoka mataifa ya Afrika, kuweza kushiriki katika sinema za Hollywood nchini Marekani akiwa na Mastaa mbalimbali.
Mchungaji Kulola akiwa na familia ya mtoto huyo.

No comments:

Powered by Blogger.