LIVE STREAM ADS

Header Ads

HABARI PICHA: ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Displaying pg 7.JPG
Diwani wa Kata ya Segerea Jijini Dar es salaam, Ugombolwa  Edwini Mwakatobe, akisaidiana na wananchi wa kata hiyo katika ujenzi wa daraja ambalo wananchi wamechangia gharama za ujenzi wake.
Displaying Pg3.JPG
Mkuu wa idara ya Mifugo na Uvuvi Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam, Msongo Songoro (mwenye tai), akipunga mkono huku kulia akiwa ni mbunge wa jimbo la Ukonga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mwita Waitara (katikati) na Naibu Meya wa  Manispaa ya Manispaa ya Ilala, Omar Kumbilamoto, kwenye ziara ya machinjio ya mbuzi Jijini Dar.
Displaying Pg 5.JPG
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omar Kumbilamoto, akizungumza jana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya kukagua Hospitali ya Amana, katika moja ya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo katika Manispaa hiyo. Kulia ni Mbunge wa jimbo la Ukonga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mwita Waitara.
Imeandaliwa na James Salvatory

No comments:

Powered by Blogger.