LIVE STREAM ADS

Header Ads

MC ZIPOMPA ATAKUWEPO KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Anasifikika kwa ushereheshaji wake unaoacha burudani kwenye shughuli, Mc Zipompa naye pia atakuwepo kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. 
Njoo ujifunze, uburudike na ufurahie ikizingatiwa Sauti ya Mwanamke ni Sauti ya Jamii hivyo ipe nafasi.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.