LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KWENYE KILELE CHA TIGO FIESTA 2016 JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha la Tigo Fiesta 2016, Imooooo, lililofanyika jumamosi Novemba 5,2016 Leaders Club Jijini Dar es salaa.
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto) akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

Ali Kiba kazini
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno, akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha hilo.

No comments:

Powered by Blogger.