LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSANII KING SILVER ATESA NA WIMBO CHOZI LA UBUNGO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

 Kupitia BMG, sikiliza wimbo mpya kutoka kwa msanii King Silver anayewakilisha kundi la Wakubwa Wa Jiji kutoka Rock City Mwanza, hakika ni wimbo mzuri masikioni. 

Wimbo huo unaitwa Chozi la Ubungo, kutoka studio za Tongwe Records, ukiwa umetengenezwa na Charlee Best na Jofu Master. Ni wimbo ambao kwa sasa King Silver anatesa nao maana umepokelewa vizuri maskioni mwa mashabiki wengi wa muziki.
Boneza HAPA Au hapo chini kusikiliza.

No comments:

Powered by Blogger.