LIVE STREAM ADS

Header Ads

HERI YA KUZALIWA MWANAHABARI GEORGE BINAGI.

Heri ya kuzaliwa mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza na mwasisi wa mtandao wa BMG, George Binagi-GB Pazzo (pichani). Februari 26 miaka miaka kadhaa iliyopoita alizaliwa, Tarime mkoani Mara.

"Ahsante Mungu, Kwa Mapenzi yako, Tarehe na Mwezi kama wa leo uliona ni vyema niletwe duniani.  #ToDay_26_02_itsMyBirthDay". Anasema George Binagi ambaye leo Februari 26.2017 anayo kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa utukufu wake.

No comments:

Powered by Blogger.