SALAMU ZA SHUKURANI KUTOKA KWA MWASISI WA BMG.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
"Shukurani nyote mlionitakia kheri katika kumbukizi yangu ya kuzaliwa jana Februari 26,2017.
Ilikuwa siku njema mno ambapo niliitoa kumtumikia Mungu katika kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza.
Tulikuwa na hitimisho zuri la mkutano wa injili ulioanza jumatano februari 22, 2017.
Watumishi wa Mungu kutoka Canada walitulisha chakula bora cha kiroho huku waimbaji mbalimbali akiwemo Martha Baraka wakihudumu vyema katika mkutano huo.
Hakika mmekuwa wema kwangu katika shida na raha, Mungu awabariki nyote maana ni ngumu kumjibu mmoja mmoja, Amina". George Binagi, Mwasisi wa BMG
No comments: