LIVE STREAM ADS

Header Ads

KATIBU MKUU IKULU MPYA ALPHAYO KIDATA AANZA KAZI RASMI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake
 kuanza kazi rasmi leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye alimkabidhi rasmi ofisi 
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017
Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akilakiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo alipofika kukabidhiwa ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017.
Picha na Ikulu

No comments:

Powered by Blogger.