MAPYA KUHUSIANA NA MGOMO KATIKA MGODI WA MWADUI.
Mgogoro wa masilahi katika mgodi wa Williamson Diamond Ltd ulifika ukomo Jana tarehe 28.02.207 baada ya mwajiri kukubali kuongeza mshahara kwa mwaka 2016/2017 na kuridhia marupurupu mengine waliyokuwa wanadai wanachama.
Kwa maana mgomo uliokuwa uanze Leo tarehe 01.03.2017 umesitishwa rasmi baada ya makubaliano Hayo kusainiwa mbele ya TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA) SHINYANGA.
Tunawqpongeza wanachama wa tawi LA WDL na viongozi wao kwa ujasiri na hekima zao.
United workers never fail.
Imetolewa na uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa sekta ya Nishati na Madini nchini, NUMET Tanzania.
Imetolewa na uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa sekta ya Nishati na Madini nchini, NUMET Tanzania.
No comments: