LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANAHABARI GEORGE BINAGI AFIWA NA SHANGAZI YAKE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

"Shangazi yetu mpendwa, Mtongori Mang'ache (pichani), amefariki hii leo katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Tarime mkoani Mara. Pumzika kwa Amani shangazi, tutakukumbuka kwa Upendo na nasaha zako, Amina". George Binagi-GB Pazzo.

No comments:

Powered by Blogger.