LIVE STREAM ADS

Header Ads

UBALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA WAWAPIGA MSASA WANABLOGU.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Zaidi ya Wanablogu 20 kutoka Umoja wa Waendeshaji wa blogs nchini Tanzania (Tanzania Bloggers Networks TBN), leo jumanne March 21,2017, wamejengewa uwenzo katika utendaji kazi hususani katika utaalamu wa kupiga picha na kuzisambaza kwenye mfumo wa mitandao ya kijamii ikiwemo blogs ili kufikisha habari na elimu katika jamii.

Mafunzo hayo yamefanyika katika ofisi za ubalozi huo Jijini Dar es salaam na yametolewa na mbobezi katika tasnia ya habari na picha, Ricci Shryock, aliyejikita kwenye mada kuhusu "Multmedia Journalism" na baadaye kuwakabidhi vyeti washiriki hao.
Wanablogu wakifurahia jambo wakati wakichangia mada kwenye mafunzo hayo
Picha na Ubalozi wa Marekani Tanzania

No comments:

Powered by Blogger.