LIVE STREAM ADS

Header Ads

WENYE UALIBINO BADO WANA HOFU YA KIUSALAMA TANZANIA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualibino mkoani Mwanza, Alfred Kapole, amesema bado wenye ualibino wanakumbwa na hofu ya kiusalama nchini.

Pia ameongeza kwamba baadhi ya wanajamii nao wana hofu kuchangamana na watu wenye ualibino kutokana na hofu ya kiusalama kutokana na watu hao huvamiwa, kushambuliwa na hata kuuawa.


Karibu kutazama mahojiano baina ya 102.5 Lake Fm Mwanza na Bwana Kapole.

No comments:

Powered by Blogger.