LIVE STREAM ADS

Header Ads

LEO AMEZALIWA KIONGOZI NA MWANASIASA MACHACHARI TANZANIA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mei 25 miaka kadhaa iliyopita alizaliwa mwanadada Beatrice Condrad ambaye ni miongoni mwa vijana wanasiasa (CCM) na viongozi machachari nchini, akitokea mkoani Arusha.

Binagi Blog inamtakia kila la heri hii leo katika kuadhimisha siku yake hii muhimu maishani mwake. Mungu Ambariki mno!

No comments:

Powered by Blogger.