KIWANJA KINAUZWA KWA BEI POA KABISA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushoto.
Na Josephat Lukaza
Na Josephat Lukaza

Mwanzo wa Picha Mpaka kwenye ukuta wa Ghorofa kule
Kiwanja Kipo KIGAMBONI KIBADA
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba (Sqmeter) 1088
Kiwanja kina hati safi na hakina mgogoro
Bei ni Milioni 65 Maongezi kidogo yapo na Kiwanja hiki kinauzwa Na Mwenye Nacho
Kwa Mawasiliano 0786 821 613
Karibu mwenye Uhitaji. Biashara Maelewano Hata
No comments: