LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWONEKANO WA DARAJA LA FURAHISHA JIJINI MWANZA BAADA YA KUKAMILIKA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Daraja jipya la Furahisha lililopo barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa Mwanza, limekamilika na sasa limeongeza chachu ya uzuri wa Jiji hilo. 

Hili ni daraja la pili la watembea kwa miguu Jijini Mwanza baada ya lile la Mabatini lililopo barabara ya kuelekea stendi ya mabasi Buzuruga. Uzinduzi wa daraja la Furahisha unatarajiwa kuvuta hisia za wakazi wengi wa Jiji la Mwanza.
#BMGHabari
Mwonekano wa daraja la Mabatini Jijini Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.