LIVE STREAM ADS

Header Ads

VIJANA JIJINI MWANZA WASHIRIKI USAFI JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI.

Vijana Jijini Mwanza wakishiriki shughuli ya usafi hii leo jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba, 2017.

Ni vijana kutoka makundi mbalimbali ikiwemo UVCCM, bodaboda, machinga, makondakta wa daladala pamoja na wananchi wengine ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Mhe.Dkt.John Magufuli la kufanya usafi kote nchini kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
HABARI ZAIDI YAJA.

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

No comments:

Powered by Blogger.