LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tamasha la "Samaki Carnival 2017" lafana Jijini Mwanza

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Wakazi wa Jiji la Mwanza wameupokea vyema msimu wa tano wa tamasha la "Samaki Carnival 2017", linalofanyika katika viunga vya Rock Beach Garden kwa siku mbili kuanzia jana.

Baraka Nyoror, CEO Fine Touch Media
BMG Habari, Pamoja Daima!

No comments:

Powered by Blogger.