LIVE STREAM ADS

Header Ads

Alliance watamba kufanya vyema ligi kuu licha ya kuanza vibaya

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Katika mchezo wa leo Alliance wamekubali sare ya bao 1-1 katika uwanja wa nyumbani CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Kocha Mkuu wa timu ya Alliance FC ya Jijini Mwanza Mbwana Makata amesema kikosi chake bado kiko imara licha ya kutoa sare ya goli 1-1 dhidi ya African Lyon ya Jijini Dar es salaam kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania msimu wa 2018/19 kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

Katika mchezo wa leo timu ya African Lyon imekuwa ya kwanza kupata bao  kupitia kwa mchezaji Haruna Moshi dakika ya tisa, bao ambalo limedumu hadi kipindi cha pili ambapo dakika ya 91 Alliance wamesawazisha kupitia kwa mchezaji wake Michael Chinedu.

Alliance FC yapepetwa na Mbao FC

No comments:

Powered by Blogger.