LIVE STREAM ADS

Header Ads

“Ukifika Masumbwe usiongolee madini hueleweki”- Biteko

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uwanja wa shule ya Msingi Masumbwe, Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Novemba 29, 2018.
Tazama BMG Online TV hapa chini
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisalimiana na wakazi wa Kata ya Lulembela (hawako pichani), baada ya kuwasili wilayani Mbogwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akiwasilisha salamu zake wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (hayuko pichani) wilayani Mbogwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayuko pichani), aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, zinazojengwa katika Kijiji cha Kasosobe.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kasosobe waliojitokeza kumlaki Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa jengo la ofisi za Halmashauri ya Mbogwe.
Wakazi wa Kata ya Masumbwe wilayani Mbogwe walimlaki Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa picha hii murua kabisa. Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

No comments:

Powered by Blogger.