LIVE STREAM ADS

Header Ads

Nabii Njeni kupiga mkutano mkubwa wa Injili mkoani Geita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Nabii wa Mungu Deo Njeni wa Kanisa la Revival (Huduma ya Utukufu wa Mwisho) lililopo Mtaa wa Shamaliwa B Kata ya Igoma Jijini Mwanza anawakaribisha watu wote kwenye kongamano kubwa la injili litakalofanyika mjini Geita kuanzia jumatano Mei 22, 2019 hadi jumapili Mei 26, 2019.

Kumbuka mahali ni katika Hema la Utukufu wa Mwisho Geita lililopo Mtaa wa Msufini jirani na Soko la Mitumba ambapo muda ni kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi na mbili jioni. Kwa huduma ya uponyaji wa kinabii, wasiliana na Nabii DL. Njeni kupitia nambari 0756 28 52 65.
Tazama BMG Online TV hapa chini
SOMA>>> Huduma za Nabii Njeni #PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.