LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbio za "Rock City Marathon 2019" zapamba moto

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbio za Rock City Marathon 2019 zinazidi kupamba moto jijini Mwanza ambapo zinaanzia na kumalizikia katika viunga vya Rock City Mall, Oktoba 20, 2019.
#BMGHabari
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula (katikati) pia ameshiriki mbio za Rock City Marathon 2019 zinazofanyika jijini Mwanza (kuanza na kumalizikia viunga vya Rock City Mall) Oktoba 20, 2019.
Mgeni Rasmi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangala (wa pili kulia) naye ameshiriki mbio za Rock City Marathon 2019.

No comments:

Powered by Blogger.