LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkutano Mkuu wa MISA Tanzania wafanyika jijini Dodoma

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa taasisi ya MISA Tanzania, Salome Kitomari akifungua Mkutano Mkuu wa taasisi hiyo uliofanyika katika Hoteli Royal Village jijini Dodoma, Octoba 19, 2019.
Wajumbe wa mkutano huo wakimsikiliza Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Salome Kitomari.
Afisa Mwandamizi wa mfuko NSSF mkoani Dodoma, Pamela Mallya akieleza shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo.
Mmoja wa washiriki akichangia hoja kwenye mkutano huo.
Mshiriki akichangia mada kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wakiuliza maswali ili kupata ufafanuzi kuhusiana na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii NSSF na PSSSF ambayo ilidhamini huo.
Victor Kikoti ambaye ni Meneja Matekelezo kutoka Mfuko wa Hifadhi wa Watumishi wa Umma (PSSSF) akieleza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mfuko huo.
Makamu Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Wakili James Marenga akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa mkutano huo kuhusiana na Katiba ya taasisi hiyo.
Katibu wa Bodi ambaye pia ni Mkurugenzi wa MISA Tanzania, Gasirigwa Sengiyumva (wa pili kushoto) akiwasilisha ripoti za utekelezaji wa mambo mbalimbali ya taasisi hiyo.
Wajumbe wa Bodi, Sekretarieti, Wanachama wa MISA Tanzania, Wadhamini wa Mkutano huo ambao ni NSSF, PSSSF na TANESCO wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Picha na Fredy Njenje, Dodoma

No comments:

Powered by Blogger.