Shirika la KIVULINI lashiriki wiki ya Maulid jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la
kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI ni miongoni mwa wadau
walioshiriki kwenye maadhimisho ya wiki ya Maulid yanayofanyika uwanja wa
Furahisha mkoani Mwanza ambapo kitaifa Maulid inatarajiwa kufanyika Novemba 09,
2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akizungumza jambo baada ya kuzindua maadhimisho ya Maulid na kutembelea banda la Shirika la KIVULINI.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akipata maelezo alipotembelea banda la Shirika la KIVULINI kwenye maadhimisho ya Maulid.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally akitoa salamu zake kwenye uzinduzi wa Maulid.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: