LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ujenzi jengo la abiria Mwanza Airport “tulipofika tumepumua”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza ulianza rasmi Septemba 25, 2019 ambapo hadi kukamilika kwake utagharimu shilingi bilioni 12 ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli.

Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni nne zinatokana na mapato ya ndani ya halmashauri za Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela. Jengo hilo litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 600 kwa wakati mmoja.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.