Kampeni mpya ‘Corona Iko Mlangoni Kwako’
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mikoa ya
Kanda ya Ziwa imeanza kunufaika na kampeni ya ‘Corona Iko Mlangoni Kwako’
inayoendeshwa na Shirika la KIVULINI kwa lengo la kuelimisha jamii kuchukua
tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona pamoja na kusaidia upatikanaji wa vijaa
vya kujikinga na maambukizi hayo.
Tayari Wilaya
za Nyamagana, Ilemela, Magu na Misungwi mkoani Mwanza zimenufaika na kampeni
hiyo. Wilaya nyingine ni Bunda mkoani Mara ambapo mikoa mingine ikiwemo
Shinyanga na Kigoma inafuata.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> Habari kuhusiana na Corona
No comments: