MISUNGWI “Shirika la KIVULINI lakabidhi vifaa vya kupambana na Corona”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la
la kutetea haki za wasichana na wanawake (KIVULINI) Jumanne Mei 05, 2020 limekabidhi
vifaa vya kusaidia mapambano dhidi ya Corona katika Wilaya ya Misungwi mkoani
Mwanza.
Vifaa hivyo
ni pamoja na mashine za kupima joto la mwili, vitakasa mikono na mapipa ya
kuweka maji ya kunawia mikono ambapo vitatumika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Misungwi/ Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Misungwi, soko la Gwambina
mjini Misungwi, Hospitali ya Wilaya Misungwi pamoja na Kituo cha Polisi
Misungwi Kitengo cha Dawati la Jinsia.
#BMGHabari
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na Corona
No comments: