LIVE STREAM ADS

Header Ads

Cheki Mwanza walivyojiandaa kumpokea MAGUFULI

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wanachama wa kikundi cha riadha za "Amka Mwanza Jogging Club" Jumamosi Septemba 05, 2020 wamewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi jumapili Septemba 06, 2020 ili kumpokea kumgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akitokea mkoani Mara.

Pia wamewahamisha wananchi kuhudhuria kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika jumatatu Septemba 07, 2020 CCM Kirumba.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (katikati) pia ameshiriki kwenye mazoezi hayo na kuhimiza yawe yanafanyika kila wikendi ili kuimaridha afya.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.