LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAJALIWA- Mkurugenzi ole wako, kama umenidanganya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Disemba 18, 2020 alikagua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule kongwe ya Sekondari Buhongwa iliyopo Halmashauri ya Jiji la Mwanza na kuagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha hadi mwezi Februari 2021 wanafunzi wote wa kidato cha kwanza wawe wameripoti shuleni huku kukiwa hakuna upungufu wa vyumba vya madarasa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.