LIVE STREAM ADS

Header Ads

Weeh!! BITEKO kazini ni shida, mgodi umefungwa, ngoma droo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wachimbaji wadogo wa dhahabu pamoja na wamiliki wa mialo katika machimbo ya Nyarugusu wilayani Geita ambapo amewataka kufanya shughuli zao kwa kuzingatia sheria hususani kusajili mialo yao pamoja na kuuza madini kwenye masoko yaliyoanzishwa na Serikali.
Wachimbaji wadogo Nyarugusu mkoani Geita wakimsikiliza Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Mkutano wa wazi kati ya Waziri wa Madini, Doto Biteko na wachimbaji wadogo wa dhahabu pamoja na wamiliki wa mialo katika machimbo ya Nyarugusu Wilaya ya Geita mkoani Geita.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.