RC Chalamila aagiza baa mashuhuri Mwanza, ifunguliwe, watu wanywe bia
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila Mei 25, 2021 ameagiza baa mashuhuri jijini Mwanza iitwayo 'The Cast Bar & Grill' ifunguliwe baada ya Mei 15, 2021 kufungwa kutokana na madai ya wananchi kulalamilika makelele ya muziki.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: