LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza atoa siku saba kwa waliotafuna mamilioni Sengerema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Robert Gabriel ametoa siku saba kwa Halmashaui ya Wilaya Sengerema kuhakikisha inawatafuta na kuwapata wakusanya mapato wa halmashauri hiyo waliotokomea na zaidi ya shilingi milioni 200 ili warejeshe fedha hizo.

RC Gabriel alitoa agizo hilo wakati wa kikao cha baraza maalum la madiwani katika Halmashauri ya Saengerema lililokuwa na lengo la kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.