LIVE STREAM ADS

Header Ads

Taarifa ya kuahirisha Mkutano wa Majadiliano ya Chanjo ya UVIKO 19

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Ndugu Waandishi wa Habari na wana AZAKI
Tunasikitika kuwataarifu kuwa Mkutano wa UVIKO 19 uliokuwa ufanyike kwa kushirikiana na Wizara hautafanyika tena kutokana na taratibu za maandalizi kutokukamilika.

Mkutano huu utafanyika wakati mwingine kadri Wizara na MPC watakapopanga.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kwa Wizara na waalikwa.

Aidha tunapenda kuwafahamisha kuwa Mkutano huu ulikua umeandaliwa na MPC kwa ufadhili wa rasilimali fedha toka Freedom House.

Edwin Soko
Mwenyekiti MPC
26.08.2021

No comments:

Powered by Blogger.