LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kamati yampongeza Mabula wa Nyamagana usimamizi mzuri fedha za Jimbo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Kamati ya Mfuko wa Maendeleo katika Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza imeridhishwa na usimamizi mzuri wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa kupitia fedha za mfuko huo.

Aidha Kamati hiyo imempongeza Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula kwa kuhakikisha fedha za Mfuko wa Jimbo zinatekeleza miradi iliyokusudiwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.